JE UNAJUA NIKWANINI WATU WANALOGWA NA AWAFANIKIWI
Katika kila neno litokalo katika kinywa cha mtu huwa na nguvu kubwa.ona kisa hichi kincho weza kukusaidia,,
"yupo kijana mmoja aliekuwa akipanga katika nyumba ya mama mmoja.baada ya miaka nenda rudi watu awakufurahishwa kabisa na mafanikio ya kijana yule.Lakini kijana yule akukata tama nae aliendelea kuka katika bwana akifanya mambo yake.Mama yule alikuja juu akimweleza kijana yule ya kwamba "wewe kijana ivi unajivunia nini sidhani kama utasonga mbele| Neno sidhani kama utasonga mbele likafanya kazi na kumfatilia kijana yule.Inapaswa awepo mtu atakaye futa neno lile na kumtamkia kijana yule neno ya kualibu mambo yote yaliyo semwa juu ya kijana yule"
Unapo kuwa katika mipango yako fikiria sana juu yakila neno unalo litowa katika kinywa chako.
Maana katika kila neno litokalo katika kinywa cha mwanadamu ipo unguvu kubwa ya uwezekano juu ya neno hilo.
unaweza kujialbia au kujijingea mfanikio katika kila neno
"unapoamua kitu wewe tamka mafanikio na sii kujilani kama wewe ni mwanafunzi na unataka kufauru mitihani yako wewe sema "nataka nifauru mitihani yangu hii" nasii kusema "sijuii nitafaurii maana mitihani hii si mchezosomo lenyewe siliwezi"ukisha sema hivi na kweli usidhani kamwe kama utakuja fauru ilo
Popote unapo kuwa tumia kahuli hii itakiwa msaada wako
"KINYWA CHANGU NI NENO NA NENO LANGU NI AMRI"
Na kila utakalo litafanikiwa.
NABII GEOGRAPHY
Email:Hemalaufunuo@gmail.com
Youtube:Nabiigeography
Simu:0656240305







0 comments:
Post a Comment