Friday, 3 April 2015

HEMA LA UFUNUO KATIKA PICHA, JIONEE MWENYEWE.

Ndani ya HEMA LA UFUNUO huduma zikiendelea za neno kama unavyoona hapa.


 Watu wa Mungu wakifatilia neno la Mungu kwa Makini zaidi ndani ya HEMA LA UFUNUO.



Huduma ya Neno ikendelea



Hapa ndipo HEMA LA UFUNUO LILIPO.


UNAKARIBISHWA SANA HEMA YA UFUNUO KUSIKILIZA NENO LA UZIMA LITAKALOKUPONYA WEWE NA FAMILIA YAKO.
HAKIKISHA UNAMSHIRIKISHA MWENZAKO KUJIFUNZA JUU YA NENO LA MUNGU KUPITIA MTANDAO HUU.
TUNAPATIKANA MOROGORO MJINI ENEO LA NANE NANE.

0 comments:

Post a Comment