UNATAKA UONE NI KIPI KILICHO JILI DOWNLOAD VIDEO HII ILI UWEZE ONA NI JINSI GANI MUNGU ANAFANYA KAZI JUU YA WATU.
Kijana huyu alikwa akisumbuliwa na swala la kunywa pombe na kuvuta sigara,hivi vyote alizindikiwa tu kwani si yeye aliye kuwa akifanya vyote hivi bali alinyweshwa mkojo wa bibi kizee ambao ulikuwa ukimsumbuwa na kumfanya kuwa na hamu ya pombe kila saa lakin sasa ni mzima na anamtumikia Mungu.
Je unataka nawe kufunguliwa na matatizo yako,
wasiliana na Nabii geograph.
imechapishwa na
NABII GEOGRAPHY
Email:Hemalaufunuo@gmail.com
Youtube:Nabiigeography
Simu:0656240305
0 comments:
Post a Comment