Friday, 3 April 2015

HUDUMA YA HEMA LA UFUNUO SASA IPO MIGUUNI PAKO.

Ili  kulileta neno la Mungu karibu na wewe zaidi, huduma ya HEMA LA UFUNUO (MOROGORO MJINI)  iIiyoko chini ya Nabii Geography kuanzia sasa itakuwa inakuletea baadhi ya masomo yanayofundishwa kwenye HEMA LA UFUNUO kwa njia ya mtandao. Lengo kuu la huduma hii kukujia kwa njia ya mtandao ni kuweza kuieneza injili ya Yesu Kristo ili iwafikie watu wote kwa njia rahisi popote pale walipo. 


Wote mnakaribishwa kujifunza neno la MUNGU, Maombi, pamoja na kumsifu na kumwabudu Mungu wetu.

0 comments:

Post a Comment